Jumamosi, 1 Aprili 2017

TUNACHORA NA KUTOA USHAURI WA UJENZI WA NYUMBA





Tunakutengenezea Ramani za nyumba za aina yoyote unayotaka na kutoa ushauri wowote jinsi ya kujenga na vifaa vya ujenzi. 

Gharama zetu ni nafuu sana na uaminifu kwetu ni jambo la msingi kuliko chochote wasiliana na sisi kupita mawasiliano hayo hapo chini:

Allen Ngemela,
+255 713 943 775,
Agkarongo@gmail.com,

Napatikana Dar-Es-Salaam.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni